Karibu ujifunze kuhusu huduma hii

inayokuwezesha kutuma pesa kwenda mtandao

wowote kwa urahisi na kwa gharama ileile

Je, unajua kwamba sasa unaweza kutuma pesa kwenda mtandao wowote ule na ikaingia moja kwa moja kwenye

akaunti ya uliyemtumia kwa gharama ile ile ambay ungetozwa kama unatuma kwenda mtandao wako? Angalia

mmifano ya menu hapo chini ujifunze zaidi

Je unajua jinsi ya kutuma pesa moja kwa moja kwenda kwenye

akaunti ya mtandao wowote ule bila gharama za ziada?

Fuata maelekezo ya jinsi ya kutuia menu ya mtandao wako ili uweze kutuma pesa kwenda mitandao

mingine na pesa iingie moja kwa moja kwenye akaunti ya mtu uliyemtumia.

Ni rahisi na haraka, jaribu sasa. Tuma Pesa. Bila Mipaka.

Maswali na Majibu

...

WASILIANA NASI

Una Maswali Zaidi?